Wednesday, July 8, 2015

Video: HIVI USTAA UNAWEZA KUKUFANYA UBADILI MAPENZI...? msikilize Ruby



Kwa taarifa ambayo eNewz inakupa wewe kwa mara ya kwanza kabisa, The Beautiful Ruby ambaye offcourse maisha yake yamebadilika na yanaendelea kubadilika kwa kasi, amelazimika pia kubadili mahusiano yake ya kimapenzi ambapo kwa sasa anatoka na mtu mpya na wanaelewana na kwenda sawa bila kumuweka wazi hasa ni nani huyo.

0 comments:

Post a Comment